Ad Code

Responsive Advertisement

UPDATE: watu 41 waripotiwa kupoteza maisha katika ajari ya ndege



Watu 41 wamepoteza maisha kwenye ajari ya ndege mjini moscow huko nchini Urusi baada ya ndege waliyo kuwa wakisafiria kushika moto wakiwa angani. 

Inaripotiwa kuwa ,baada ya ndege hio iliyokuwa ikitokea Sheremetyvo na ikielekea  Murmansk kushika moto ikiwa angani ililazimika kutuwa kwa dharura katika Airpot ya Moscow na ndipo ilipo lipuka na kusababisha vifo vya watu 41, wakiwemo wafanyakazi wa ndege hio wa 5.

Ndege hio aina ya Jeti ilikuwa imebeba jumla ya  abilia  78, walio fanikiwa kuokolewa ni abilia 37  wakiwemo watu 11. 

Inaripotiwa chanzo cha ajari hio bado hakijajulikana na uchunguzi unaendelea kujua nini kilicho sababisha ndege hio aina ya jeti kushika moto ikiwa angani. 

Raisi wa nch hio Vladimir putin ametoa pole zake kwa familia zilizipoteza ndugu zao, na majeruhi katika ajari hio.
Reactions

Post a Comment

0 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement