Ad Code

Responsive Advertisement

Ijue sarafu au "pesa" ya kidigitali Pata elimu juu ya fedha za kitigitali yaani kwa lugha ya kiingereza "Cryptocurrences"

                 

Tunatambua ya kwamba dunia kwa sasa inaendeshwa kwa mifumo ya kidigitali au "digital system"

Kufatia kuwepo na mashariti kutoka mabanki ya nchi husika dunia kuwa na katazo la uhamishaji pesa kiholela kutoka nchi moja kwenda nyinge na kumnyima mmiliki wa pesa zake uhuru wa kutaka kufanya kile anachokitaka ndio kilicho weza kuleta mapinduzi ya fedha za kidigitali. Hii nikumpa mumiliki uhuru wa kufanya kile anachokitaka juu ya pesa zake.

Na kwa mara ya kwanza 2008 dunia iliweza kujionea pinduzi la pesa ya kidigitali ikizaliwa, nayo ilikuwa ni Bitcoin yaani sarafu ambayo huwezi ishika na ipo katika mfumo wa kielectronia. 

Sarafu hii huhifadhiwa katiaka mfuko maalum unaotumia internet yaani bitcoin wallet, na ikitumia mfumo wa blockchain yaani mfumo wa kuhamisha satafu hii kutoka mfuko moja kwenda mfuko mwingine.

Pindi tu inaanzishwa sarafu hii ilianza na thamani ya Tsh 250, na ninavyoongea hivi sasa, sarafu hii inahamani ya milioni 10+ za kitanzania na hapo kwa sasa imeshuka sana zamani ilikuwa na thamani ya Tsh milioni 23000000 sawa na $10000 za kimalekani.

Na kwa sasa fedha hizi za kidigitali zimekuwa nyingi sana dunia kila kukicha utasikia kuna sarafu flani imeanzishwa.  

Baada ya sarafu ya Butcoin zilifatia sarafu kama Ethreum "ETH" ,Ripple "XRP" ,Zcash, EOS, Waves, na nyinginezo.Hii ni kumpa kila mtu atakae kuwa na uhitaji wa kutaka kutumia sarafu hizi katika manunuzi ya bidhaa ama kutaka kumtumia mtu alie mbali na hahitaji usumbufu wa mabanki.

Leo hii kuna zaidi ya sarafu 5000+ ikiongozwa na sarafu ya bitcoin. Nipende kuishia hapa tutaendelea sehemu ya pili ya somo hili.
Reactions

Post a Comment

0 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement