Mchezazi wa club ya KRC Genk ya Ubeligi "Mbwana Ali Samatta" ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya (Eboy Shoe Award 2019).
Samatta ambae amekuwa mchezaji anejituma toka mwanzoni mwa msimu huu akiwa na club yake hio ameonyesha nia na juhudi ya kuwa na mafanikio makubwa katika soka la kulipwa na kumpelekea nyota yake kuzidi kung'ara katika tasinia ya soka ulimwenguni.
Kwa namna nyingine hii ni picha nzuri kwa Taifa letu na ni neema pia kwa watanzania wengine wenye ndoto za kufanikiwa katika soka la kulipwa.
Na watanzania tukiamua tunaweza kama ambavyo Mbwana Ali Samatta alivyoiwakilisha vyema Tanzania kwenye club ya Genk nchini Ubeligi na kwa tuzo aliyo twaa hapa Afrika.
Na watanzania tukiamua tunaweza kama ambavyo Mbwana Ali Samatta alivyoiwakilisha vyema Tanzania kwenye club ya Genk nchini Ubeligi na kwa tuzo aliyo twaa hapa Afrika.
Hii huenda ikafungua milango hata kwa vijana wengine wa kitanzania , wenye vipaji vya soka kujituma na kuweza kufikia mafaniko kama aliyofikia mwenzetu Mbwana Ali Samatta.
0 Comments