Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB), imetoka majina ya wanafunzi wa vyuo vikuu mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2018/2019 waliofanikiwa kupata mikopo.
HESLB imetoa jumla ya majina 17,554 kwa awamu ya nne ama batch no 4. Kwa maalezo zaidi tembelea tovuti yao https://www.heslb.go.tz BOFYA HAPA KUONA MAJINA YOTE
0 Comments