Ad Code

Responsive Advertisement

UPDATE: Tuma na kupokea bitcoin kwa njia ya WhatsApp


Kama ulikuwa hujuwi na wewe i mtumiaji wa sarafu za kigitagili ni kwamba, kwa sasa unauwezo wa kutuma Bitcoin na kupokea kwa njia ya WhatsApp haihitaji uwe na mkoba au "Bitcoin wallet" tena maake maisha yamerahisihwa.

Mpango huu umeanzishwa na kampuni ya ZURU Republic ambayo imeweza kutengeneza "Lite.Im wallet" katika WhatsApp kwa kutumia robot ambae ni artificial intellegent ilikuwezasha utumiaji wa sarafu hizi uwe rafiki kwa watumiji wote .

Roboti huyu unauwezo wakuchat nae na akakupa muungozo wa namamna ya kuanzisha kikoba chako cha Bitcoin kwenye WhatsApp, vile vile sio tu Bitcoin ambayo unauwezo wakutuma na kupokea kwa njia ya WhatsApp bali kikopa hichi kina uwezo wakuhifadhi , kutuma na kupokea sarafu zingine  kama vile Ehreum "ETH" na Litecoin.

Kikoba hiki kimekuja na menu ya kukusadia wewe mtumiaji wa sarafu za kidigitali kujipatia sarafu ya bitcoin bure kwa kumualikaa rafiki yako, jamaa yako ama ndugu yako mwenye uelewa wa pesa za kidigitali ama cryptocurrecies".

Jipatie nawe mtumiji wa WhatsApp bitcoin bure kwa kuwaalika jamaa na marafiki zako, kuanza kumualika jamaa ,rafiki ama ndugu yako bofya hapa kuanza kupata biticoin za bure kwa njia ya WhatsApp
Reactions

Post a Comment

0 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement