Huhitaji kwenda Vodashop, bali kazi unaimaliza mwenyewe ukiwa na simu yako ya mkononi yenye uwezo wa internet yaani (smartphone). Unahitaji kuwa na vitu vifatavyo
- Majina kamili uliyotumia kusajilia laini yako yaani, Jina la ukoo (surname) na jina lako la kwanza (firstname) pamoja na jina la kati (middle name) kama unalitumia.
- Namba ya kitambulisho cha chuo "Student' ID No".
- Na mwisho ni chuo unachotokea. Kukamilisha usajili wa laini yako ili iwe ya chuo bonyeza hapa. "Vodacom Kumenoga"
0 Comments