Ad Code

Responsive Advertisement

VIJANA WA KITANZANIA WAPATA NAFASI ZA KUFANYA MAJRIBIO YA KUJIUNGA NA TIMU YA MAN CITY

Vijana wa kitanzania kutoka katika MAGNET ACADEMY ambao ni Daudi Damas na Malimi Majaliwa Mbasa wapata nafasi za kwenda kufanya majaribio maalum katika club ya manchester city huko nchi Uingereza.

Mazoezi hayo ni ya muda tu hii nikutadhimini viwango vyao ambapo kwa baadae wakiweza kufanya vzuri katika mazoezi hayo huenda kwa siku za usoni wa kajiunga na Academy ya Man City. Hii ni neema kwa vijana wetu wa kitanzania wenye vipanji mabalimbali na huenda wakawa wakombozi wa baadae kwa timu ya Taifa stars ya hapa nchi. Kwa maaelezo zaidi tizma hio video kwenye YouTube ili uweze kupata  stori nzima.
Reactions

Post a Comment

1 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement