Mheshimiwa Dtk John Pombe Magufuli ametoa mhsamaha kwa polisi walio kamatwa Mwanza wakisindikiza dhahabu zilizokuwa zikitoroshwa kutoka nchini kwa magendo.
Aidha Raisi ametoa msamaha huo kwa polisi waliokuwa wamejihusiha kwenye wizi huo wa dhabu. Amewaruhusu waendelee na kazi zao baadaa tu ya kusimamishwa kikazi kutokana na hatia iliyokuwa ikiwakabili.
Kwa muajibu wa maelezo ya Rais ilikuwa hivi, "Wale polisi walioshikiliwa kwa wizi wa dhahabu waliokuwa wakisindikiza dhahabu huko mwanza hata kuwaona tu, unaweza kujua kwenye macho yao, DPP amewaachia na nimeamua warudi kazini wakafanye kazi yao ya upolis" - Dkt John Pombe magufuli.
0 Comments